Jee unafamu sababu zake za kujiuzulu?Oktoba 25 mwaka 1990 Idris Abdul Wakil alimaliza majukumu yake kama Rais wa awamu ya 4 katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Ilikuwa ni hali ya kushangaza ila Abdul Wakil akaamua kukaa zake kando.
Alikuwa na nafasi ya kumalizia mitano mingine ila haikuwezekana.
Historia ni mwalimu mzuri na inatabia ya kujirudia. Wajumbe sio watu wazuri
Historia na muktadha wa rais Idris Abdul Wakil kutogombea urais wa Zanzibar mwaka 1990.Oktoba 25 mwaka 1990 Idris Abdul Wakil alimaliza majukumu yake kama Rais wa awamu ya 4 katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Ilikuwa ni hali ya kushangaza ila Abdul Wakil akaamua kukaa zake kando.
Alikuwa na nafasi ya kumalizia mitano mingine ila haikuwezekana.
Historia ni mwalimu mzuri na inatabia ya kujirudia. Wajumbe sio watu wazuri
Yani alikua yeye na boksi akashindwa na box??? Duh wazenji noma sana.Historia na muktadha wa rais Idris Abdul Wakil kutogombea urais wa Zanzibar mwaka 1990.
Idris Abdul Wakil alikuwa rais wa Zanzibar kwa muhula mmoja kwa sababu alitambua kuwa hata huo muhula mmoja hakushinda.
Licha ya uchaguzi wa chama kimoja ambao ulikuwa wa kura za "Ndiyo/Hapana" , Idris Abdul Wakil alishindwa uchaguzi. Matokeo ya kura yalifika mpaka kwenye vyombo vya habari vya serikali kama magazeti ya Daily News. Waandishi wakaambiwq wasiyachapishe. Watu waliokuwapo Daily News miaka hiyo wanajua.
Rais Idris Abdul Wakil kwa kujua kuwa urais wake haukuwa na uhalali, hakutaka kugombea tena urais mwaka 1990.
Itakua alijitambua kiasi chake basi!!Historia na muktadha wa rais Idris Abdul Wakil kutogombea urais wa Zanzibar mwaka 1990.
Idris Abdul Wakil alikuwa rais wa Zanzibar kwa muhula mmoja kwa sababu alitambua kuwa hata huo muhula mmoja hakushinda.
Licha ya uchaguzi wa chama kimoja ambao ulikuwa wa kura za "Ndiyo/Hapana" , Idris Abdul Wakil alishindwa uchaguzi. Matokeo ya kura yalifika mpaka kwenye vyombo vya habari vya serikali kama magazeti ya Daily News. Waandishi wakaambiwq wasiyachapishe. Watu waliokuwapo Daily News miaka hiyo wanajua.
Rais Idris Abdul Wakil kwa kujua kuwa urais wake haukuwa na uhalali, hakutaka kugombea tena urais mwaka 1990.
Siasa za Zanzibar usizichukulie poa.Yani alikua yeye na boksi akashindwa na box??? Duh wazenji noma sana.
Hakuuza rasilimali wala hakumiliki magenge....Oktoba 25 mwaka 1990 Idris Abdul Wakil alimaliza majukumu yake kama Rais wa awamu ya 4 katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Ilikuwa ni hali ya kushangaza ila Abdul Wakil akaamua kukaa zake kando.
Alikuwa na nafasi ya kumalizia mitano mingine ila haikuwezekana.
Historia ni mwalimu mzuri na inatabia ya kujirudia. Wajumbe sio watu wazuri
Mzee Idris Abdul Wakil alikuwa wale wazee wa old school aliona haya sana kuendelea kuwa rais wakati anajua hakuchaguliwa na watu.Itakua alijitambua kiasi chake basi!!
Hatari sanaSiasa za Zanzibar usizichukulie poa.
CCM wameanza kuiba kura tangu enzi za chama kimoja.
Ahsante sana kwa ufafanuziHistoria na muktadha wa rais Idris Abdul Wakil kutogombea urais wa Zanzibar mwaka 1990.
Idris Abdul Wakil alikuwa rais wa Zanzibar kwa muhula mmoja kwa sababu alitambua kuwa hata huo muhula mmoja hakushinda.
Licha ya uchaguzi wa chama kimoja ambao ulikuwa wa kura za "Ndiyo/Hapana" , Idris Abdul Wakil alishindwa uchaguzi. Matokeo ya kura yalifika mpaka kwenye vyombo vya habari vya serikali kama magazeti ya Daily News. Waandishi wakaambiwq wasiyachapishe. Watu waliokuwapo Daily News miaka hiyo wanajua.
Rais Idris Abdul Wakil kwa kujua kuwa urais wake haukuwa na uhalali, hakutaka kugombea tena urais mwaka 1990.
Kama ukweli ndio huo basi he was so gentle Yaani ameamua kuikacha keki ya Taifa yeye mwenyewe licha ya kuwa ilikuwa Ipo mikononi mwake !?Historia na muktadha wa rais Idris Abdul Wakil kutogombea urais wa Zanzibar mwaka 1990.
Idris Abdul Wakil alikuwa rais wa Zanzibar kwa muhula mmoja kwa sababu alitambua kuwa hata huo muhula mmoja hakushinda.
Licha ya uchaguzi wa chama kimoja ambao ulikuwa wa kura za "Ndiyo/Hapana" , Idris Abdul Wakil alishindwa uchaguzi. Matokeo ya kura yalifika mpaka kwenye vyombo vya habari vya serikali kama magazeti ya Daily News. Waandishi wakaambiwq wasiyachapishe. Watu waliokuwapo Daily News miaka hiyo wanajua.
Rais Idris Abdul Wakil kwa kujua kuwa urais wake haukuwa na uhalali, hakutaka kugombea tena urais mwaka 1990.
Huu mtindo wa vilaza kujifanya wanajua halafu ni pumba tupuJee unafamu sababu zake za kujiuzulu?
Jaribu kutafuta sababu ilikuwaje akakaa kipindi kimoja tu.
salmin Amour alikuwa Rais wa 5Mzee Idris Abdul Wakil alikuwa wale wazee wa old school aliona haya sana kuendelea kuwa rais wakati anajua hakuchaguliwa na watu.
Akamuachia barubaru komando Salmin Amour Jumaa usukani.
Tulikuwa tunaangalia Televisheni ya Zanzibar mwaka 1988 mpaka 1990 tunashangaa huyu Salmin Amour mbona kila siku anaoneshwa kwenye TV kuliko hata rais wa Zanzibar?
Ilipofika 1990 tukaona Salmin ndiye mgombea urais Zanzibar, tukajua kumbe Salmin alikuwa "president in waiting" anaandaliwa kumpokea Sheikh Idris Abdul Wakil.
Salmin naye akashindwa urais na Maalim Seif, matokeo yakabadilishwa, akawa rais.
Sheikh Idris Abdul Wakil alikuwa muungwana na ndiyo maana hakuweza siasa za Zanzibar.Kama ukweli ndio huo basi he was so gentle Yaani ameamua kuikacha keki ya Taifa yeye mwenyewe licha ya kuwa ilikuwa Ipo mikononi mwake !?
Halafu mbona sio maarufu hivyo!?
Aisee !! Kweli Alikuwa Muungwana Asante mkuu Kwa bandikoSheikh Idris Abdul Wakil alikuwa muungwana na ndiyo maana hakuweza siasa za Zanzibar.
Siasa za Zanzibar zilitaka mtu barubaru kama Komando Salmin Amour Jumaa.