brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 1,034
- 1,638
kuna mtu pia alileta uzi kuwa prezda nae kila sehemu aliyohudumu kafanya kwa miaka mitano tu ajawai zidi hapo .salmin Amour alikuwa Rais wa 5
Jiwe naye akawa Rais wa 5
5 ina shida sana!!
kuna mtu pia alileta uzi kuwa prezda nae kila sehemu aliyohudumu kafanya kwa miaka mitano tu ajawai zidi hapo .salmin Amour alikuwa Rais wa 5
Jiwe naye akawa Rais wa 5
5 ina shida sana!!
Kaa kimya. Wewe ni mbilikimo wa historia.Oktoba 25 mwaka 1990 Idris Abdul Wakil alimaliza majukumu yake kama Rais wa awamu ya 4 katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Ilikuwa ni hali ya kushangaza ila Abdul Wakil akaamua kukaa zake kando.
Alikuwa na nafasi ya kumalizia mitano mingine ila haikuwezekana.
Historia ni mwalimu mzuri na inatabia ya kujirudia. Wajumbe sio watu wazuri
ngozi nyeusi kukubali uhalisia ni kazi sana anadeserve hata sanamu huyu.Kama ukweli ndio huo basi he was so gentle Yaani ameamua kuikacha keki ya Taifa yeye mwenyewe licha ya kuwa ilikuwa Ipo mikononi mwake !?
Halafu mbona sio maarufu hivyo!?
Alikuwa anajiweka sawa alete mataputapu kijiweni, akakabiwa kwa juu.....Huu mtindo wa vilaza kujifanya wanajua halafu ni pumba tupu
Alipita kwa veto ya Nyerere au?Siasa za Zanzibar usizichukulie poa.
CCM wameanza kuiba kura tangu enzi za chama kimoja.
Duh kweli watu wanakukataa duniani na mbinguni. Yani unakatiliwa kati ya wewe na box tupu?Mzee Idris Abdul Wakil alikuwa wale wazee wa old school aliona haya sana kuendelea kuwa rais wakati anajua hakuchaguliwa na watu.
Akamuachia barubaru komando Salmin Amour Jumaa usukani.
Tulikuwa tunaangalia Televisheni ya Zanzibar mwaka 1988 mpaka 1990 tunashangaa huyu Salmin Amour mbona kila siku anaoneshwa kwenye TV kuliko hata rais wa Zanzibar?
Ilipofika 1990 tukaona Salmin ndiye mgombea urais Zanzibar, tukajua kumbe Salmin alikuwa "president in waiting" anaandaliwa kumpokea Sheikh Idris Abdul Wakil.
Salmin naye akashindwa urais na Maalim Seif, matokeo yakabadilishwa, akawa rais.
Usicheze na Wapemba kwenye jambo lao la kuikataa CCM.Duh kweli watu wanakukataa duniani na mbinguni. Yani unakatiliwa kati ya wewe na box tupu?
Wengine ndiyo sasa wanazinduka. Wapemba wamepata madhila sana kwa kuikataa CCM.Usicheze na Wapemba kwenye jambo lao la kuikataa CCM.
Kungekuwa na wakimbizi kibao!Kwa kweli Komandoo alitawala kwa ubabe mkubwa. Najaribu kuwaza tu huku Magufuli na kule Salmini ingekuwaje?
Hata sasa wapo sema wamekuwa wanashupaza shingo tu.Historia na muktadha wa rais Idris Abdul Wakil kutogombea urais wa Zanzibar mwaka 1990.
Idris Abdul Wakil alikuwa rais wa Zanzibar kwa muhula mmoja kwa sababu alitambua kuwa hata huo muhula mmoja hakushinda.
Licha ya uchaguzi wa chama kimoja ambao ulikuwa wa kura za "Ndiyo/Hapana" , Idris Abdul Wakil alishindwa uchaguzi. Matokeo ya kura yalifika mpaka kwenye vyombo vya habari vya serikali kama magazeti ya Daily News. Waandishi wakaambiwa wasiyachapishe. Watu waliokuwapo Daily News miaka hiyo wanajua.
Rais Idris Abdul Wakil kwa kujua kuwa urais wake haukuwa na uhalali, hakutaka kugombea tena urais mwaka 1990.
Mzee Idris Abdul Wakil alikuwa wale wazee wa old school aliona haya sana kuendelea kuwa rais wakati anajua hakuchaguliwa na watu.