Idris Abdul Wakil alitawala kwa awamu moja tu, akakaa pembeni. Historia kujirudia?

Kaa kimya. Wewe ni mbilikimo wa historia.
 
Kama ukweli ndio huo basi he was so gentle Yaani ameamua kuikacha keki ya Taifa yeye mwenyewe licha ya kuwa ilikuwa Ipo mikononi mwake !?

Halafu mbona sio maarufu hivyo!?
ngozi nyeusi kukubali uhalisia ni kazi sana anadeserve hata sanamu huyu.
 
Mama bado anataka kukamua nchi Abduli bado anahitaji kukusanya hela
 
Duh kweli watu wanakukataa duniani na mbinguni. Yani unakatiliwa kati ya wewe na box tupu?
 
Hata sasa wapo sema wamekuwa wanashupaza shingo tu.
 

Salmini alikuwa chaguo la Nyerere, alimuandaa. Nyerere aliwaweza sana ASP, always alikuwa anastand with weak na ndio mana aliweza kuwaendesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…