Idris amfungukia LULU

Idris amfungukia LULU

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014 ), Idris Sultan amemfungukia mwigizaji Elizabeth Michael ' Lulu ' na kudai ni rafiki yake wa karibu.

Kabla mshindi huyo hajakanyaga Bongo, Lulu alishambuliwa mitandaoni baada ya kujinadi kuwa na urafiki wa karibu na Idris lakini kwa kauli hiyo, imeonesha dhahiri wawili hao ni marafiki wa kweli tofauti na mitazamo ya wadau mitandaoni. "Lulu ni rafiki yangu wa muda mrefu, hakuna kingine zaidi ya urafiki.

Tutaendelea kuwa marafiki hata baada ya ushindi huu, " alisema Idris, juzi alipokuwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam (The Kilimanjaro).
 
Attachments

  • 1419054596473.jpg
    1419054596473.jpg
    67.3 KB · Views: 2,305
  • 1419054608839.jpg
    1419054608839.jpg
    66.9 KB · Views: 2,280
Ngoja hizo milion mia tano ziishe kama urafiki utakuwepo, muulize richard kama kuna staa anayemshobokea kwa sasa au hata kujua uwepo wake, ako ka lulu kamalaya tu
 
Ila huyu mtoto mzuri jamani tuacheni utani
 
lulu ni photogenic tu , hana uzuri huo kma anavyoonekana kwenye picha, ni kafupi kama skuna za miaka 47, camera za i phone 6 na galaxy s5 zinafanya kazi

Macho yanatofautiana.....mimi nikiambiwa nitaje bongo movie wazuri (ninaowafahamu) nitaanza na Lulu....na mimi ku-assess uzuri wa mtu huwa situmii vigezo vya Lundenga
 
Haya kumekucha, maisha ya hawa wanaitwa mastaa wa kibongo yanaendeshwa na mitandao sio maisha yao halisi, yaani kutwa wanatazama kwenye mitandao inasemaje kuhusu wao,
 
Macho yanatofautiana.....mimi nikiambiwa nitaje bongo movie wazuri (ninaowafahamu) nitaanza na Lulu....na mimi ku-assess uzuri wa mtu huwa situmii vigezo vya Lundenga

ki sura kwa kweli ni mzuri , lulu kaumbika , ila make ups na camera nzuri zinamfanya awe mrembo zaidi , pia kanajua sana kuvaa kale katoto, ila ukikaona live hayupo hvyo ni kafupi sana na sio mweupe hvyo
 
Alaaa...kumbe uzuri wa mtu upo kwenye urefu na weupe....
 
Yes, ndio maana hata kwenye mashindano ya umiss wanaangalia pia kigezo cha urefu, mwanamke kuwa mfupi sana haipendezi
 
Ndio maana nlishasema tunatofautiana kutazama na nkasema mi kujudge uzuri wa mtu situmii vigezo vya lundenga
 
lulu angekuwa mrefu kidgo angekuwa mzur zaidi, ndio maana high heels hazimkauki miguuni coz anajijua majanga yake
 
lulu ni photogenic tu , hana uzuri huo kma anavyoonekana kwenye picha, ni kafupi kama skuna za miaka 47, camera za i phone 6 na galaxy s5 zinafanya kazi

Hivi kwani si bado kanakua haka katoto nadhani katarefuka tuu baadae...
 
YES, lulu bado ni bint mdogo, umaarufu tu ndo umemkuza anaonekana mkubwa, bado mbichi sana ila sina uhakika uko chini kama patakuwa bado pabichi kama umri wake
 
Kama ata acha hayo mambo kwa muda akikua pata rejuvenate. Haya maumbile yanarudi utoto kama unapapumzisha...
 
lulu ni photogenic tu , hana uzuri huo kma anavyoonekana kwenye picha, ni kafupi kama skuna za miaka 47, camera za i phone 6 na galaxy s5 zinafanya kazi

mmmh binamu hivi kumbe urefu ndio uzuri?
 
Back
Top Bottom