Idris amfungukia LULU

Idris amfungukia LULU

mmmh binamu hivi kumbe urefu ndio uzuri?

YES, mwanamke akiwa mrefu kiasi bhas ata uzuri wake unaongezeka maradufu , tofauti akiwa mfupi sana hata uwe mzuri vip bado utachukiza na ndio maana mashindano ya umiss lazima waangalie kwanza kigezo cha urefu maana ndio una akisi vizur uzuri wa mwanamke
 
lulu ni photogenic tu , hana uzuri huo kma anavyoonekana kwenye picha, ni kafupi kama skuna za miaka 47, camera za i phone 6 na galaxy s5 zinafanya kazi

Hahahaaaaa uwiiiiii warumi nilimiss hizi kashda zako balaa
 
Last edited by a moderator:
YES, lulu bado ni bint mdogo, umaarufu tu ndo umemkuza anaonekana mkubwa, bado mbichi sana ila sina uhakika uko chini kama patakuwa bado pabichi kama umri wake

Uwiiiiiiiiiii mbavu zangu!
 
YES, mwanamke akiwa mrefu kiasi bhas ata uzuri wake unaongezeka maradufu , tofauti akiwa mfupi sana hata uwe mzuri vip bado utachukiza na ndio maana mashindano ya umiss lazima waangalie kwanza kigezo cha urefu maana ndio una akisi vizur uzuri wa mwanamke

Umeona eeh?warefu tunaringaje jamani?
 
binamu kweli wewe mrefu au unajiongeza? wanawake warefu dili mjini, wanawake wafupi wengi ni wakorofi

Nijiongeze ili iweje binamu?hizo high heels nawaachia kina lulu maana nikivaa nakua kama jini....
 
lulu ni photogenic tu , hana uzuri huo kma anavyoonekana kwenye picha, ni kafupi kama skuna za miaka 47, camera za i phone 6 na galaxy s5 zinafanya kazi

Yuko palatable mkuu haya ni yale ya "sistaki mbichi hizi " mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
 
Nijiongeze ili iweje binamu?hizo high heels nawaachia kina lulu maana nikivaa nakua kama jini....

ahahah upo juu high heels waachie viwet akina lulu weny miguu kama ufito wa genge
 
Macho yanatofautiana.....mimi nikiambiwa nitaje bongo movie wazuri (ninaowafahamu) nitaanza na Lulu....na mimi ku-assess uzuri wa mtu huwa situmii vigezo vya Lundenga

ushawai kumuona kwa macho mkuu
 
Nilichojifunza kwa hawa mastaa ni wa kwaida sana sema make up na camera tu zinachanganya watu juzi nimekutana na tunda man kinondoni moscow the way alivyokua kama muuza genge malapa,singlend ya buku jero na mfuko wa rambo mkononi
 
ki sura kwa kweli ni mzuri , lulu kaumbika , ila make ups na camera nzuri zinamfanya awe mrembo zaidi , pia kanajua sana kuvaa kale katoto, ila ukikaona live hayupo hvyo ni kafupi sana na sio mweupe hvyo
Binamu lulu kaumbika???!!!au mi sielewi maana ya kuumbika?
 
Back
Top Bottom