Idris Elba huyu jamaa bana

Idris Elba huyu jamaa bana

Hata ile The Beast of no nation ina kisa kizuri ila sijapenda stori ilivyopangiliwa.
 
Halafu huyu mwamba ndie alitakiwa awe Black Pather ila wapuuzi wa ile kampuni wakampa role ya yule gate keeper wa akina Thor sasa hawezi kuwa na movie characters mbili kwa wakati m'moja unless madirector wafanye jambo kwenye story ya Black Pather na Thor.
Mazali kibao sana yanampita yani... angeweza kuwa the next Denzel
 
Back
Top Bottom