Idris na Samantha ni kama penzi limeanza

Goitse ni lesbian tangia Botswana walikua wanasagana hata kuna siku walikua wanafanya na Sipe biggie akawaita baada ya kuingia fake house mate akawa anajipitisha kwa lukley alikua ana muona Idriss Hana kitu

Hapo kwenye "red" walikua wanasagana na nani??
 
Idris na Samatha hamna kitu.Samatha mwenyewe ameshakuwa bibi Idris bado jank ngoja arudi bongo magazeti si yapo?

Hivi Zarina na Nassib wamelingana umri? Nataka nijue tu.
Ova

Sasa mimi nafanya kazi RITA ''uzazi na vifo'' mpk niwe na birth certificate zao?:boxing:

Wakati unapost hapa nadhani bado ulikuwa unafanya kazi RITA.



Na ulivyokuja kupost hapa ndio ukawa umeshaacha kazi RITA.
You made my day mkuu.
Ova

ha ha ha ha

aibu utaona wewe
 
All of them have my heart but in a different manner. So far, I'm not taking any of them to Tanzania as a wife but one thing is Samantha is my best friend of all three and I'm taking her everywhere.

Source:

http://allafrica.com/stories/201412090419.html
 
Nasikia jana Idris kapiga Samantha hahahaha

Kwa mazingira waliyokuwa nayo jana, lolote linaweza kutokea. Walikuwa pamoja kwenye bata mpaka night kali.
Ova
 
Kwa mazingira waliyokuwa nayo jana, lolote linaweza kutokea. Walikuwa pamoja kwenye bata mpaka night kali.
Ova

Leo anatoa nae bongo au?? ningependa sana hawa watu wawe couple sema tatizo age difference. Miaka 8 si mchezo
 
Leo anatoa nae bongo au?? ningependa sana hawa watu wawe couple sema tatizo age difference. Miaka 8 si mchezo

Tofauti ya umri kwa Africa ni ngumu kidogo, ndio maana watu waliwashangaa sana Jafarai na Mhe. Shy-Rose Bhanji walipoamua kuwa wapenzi wa wazi licha ya tofauti yao ya umri. Au Dotnata alipokuwa na Ray wa Bongo Movies enzi zile. Ila nadhani wakati unabadilika, coz watu hawashangai sana kuwa Nassib na Zari kuwa wapenzi na wana tofauti ya miaka tisa.
Ova
 
ninawafolow samatha na idris twitter pi insta.. hawa ni washkaji sanaaa... samy kamzungusha idriss viwanja hadi nyyt kali dem anatwits.. jana samy akapost bendera ya tz akaitakia nchi ya idriss hapy independeny day. umri wa samyy ndio unaoufanya huo urafiki uwe poa zaidi.
 
Wajua hadi nilihisi Goitse ni lesbian coz alichokuwa akifanya na Sipe kitandani alikuwa akikifurahia zaidi kuliko alichokuwa akifanya na Idris. Hakuwa akishtuka hata alipofanyiwa vitu romantic. Nasikia alilia sana Feza alipotoka kwenye jumba.
Ova

Yule dogo ni lesbian, kuna siku walikuwa wanna kiss na sipe wakaitwa na biggie wakapigwa mkwara, feza alipoingia ndani ya jumba alihama hadi kitanda na kwenda kulala naye na jinsi alivokuwa anaongea naye hadi nilikuwa naona aibu.
Idris kama anataka awe salama kwenye mahusiano awe na Samantha , dogo ana akili sana , ndio Samantha ana miaka 29 lakini ni mbichi na mwili wake ni mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…