Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goitse ni lesbian tangia Botswana walikua wanasagana hata kuna siku walikua wanafanya na Sipe biggie akawaita baada ya kuingia fake house mate akawa anajipitisha kwa lukley alikua ana muona Idriss Hana kitu
Hapo kwenye "red" walikua wanasagana na nani??
Tangia nchini kwao ndo tabia yake hiyo
Nasikia jana Idris kapiga Samantha hahahaha
Idris na Samatha hamna kitu.Samatha mwenyewe ameshakuwa bibi Idris bado jank ngoja arudi bongo magazeti si yapo?
Hivi Zarina na Nassib wamelingana umri? Nataka nijue tu.
Ova
Sasa mimi nafanya kazi RITA ''uzazi na vifo'' mpk niwe na birth certificate zao?:boxing:
Wakati unapost hapa nadhani bado ulikuwa unafanya kazi RITA.
Na ulivyokuja kupost hapa ndio ukawa umeshaacha kazi RITA.
You made my day mkuu.
Ova
Kampiga kiaje sasa
Kwa mazingira waliyokuwa nayo jana, lolote linaweza kutokea. Walikuwa pamoja kwenye bata mpaka night kali.
Ova
Leo anatoa nae bongo au?? ningependa sana hawa watu wawe couple sema tatizo age difference. Miaka 8 si mchezo
ha ha ha ha
aibu utaona wewe
Huu msemo wako huwa naupenda sana mkuu `` aibu naona mimi" asa huwa najiuliza unamaanisha nini
ni msemo niliotokea kuupenda tu
aibu utaona wewe
- What is this?
Le Big Show
Wajua hadi nilihisi Goitse ni lesbian coz alichokuwa akifanya na Sipe kitandani alikuwa akikifurahia zaidi kuliko alichokuwa akifanya na Idris. Hakuwa akishtuka hata alipofanyiwa vitu romantic. Nasikia alilia sana Feza alipotoka kwenye jumba.
Ova
Lulu amesha tangaza nia kwa Idris tayariSipati picha kwenye hiyo party ya kumkaribisha itakuwaje!
Wolper,Lulu,Jokate sidhani kama watakosekana...