Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Exactly. Kumcheka Rais wa JMT na kuijipiga picha halafu akaweka mtandaonikosa lake ni kucheka hadharani?kumbe ni kweli picha inachekesha ila angechekea pembeni,hiki kizazi hiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly. Kumcheka Rais wa JMT na kuijipiga picha halafu akaweka mtandaonikosa lake ni kucheka hadharani?kumbe ni kweli picha inachekesha ila angechekea pembeni,hiki kizazi hiki
Vyombo vya dola ndio vinajua muhusika kapata maumivu kiasi gani?Kwa akili zako unataka mh asimame aseme au? Hiyo ni kazi ya vyombo vya dola
Hapo hata mm pamenistua kwakweli hahahahaaIdris ana miaka 27?ha ha haa kwahiyo BBA ya 2014 alishiriki akiwa na miaka 21?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute hata hayo malinda yenyewe hana,mwanaume kamili unapata wapi ujasiri wa kufanya upuuzi ule wa kitoto.Sasa inabidi akafumuliwe malinda tu nadhani ndo anachokitafuta huyo Idris
Utamu wa kujin'gata ulimi......ah ah ahMatatizo ya kujitakia
Wakati wa utawala wa JK mwanzoni kuna Jamaa alikuwa anajiita Ze Utamu, akadhalilisha watu wengi sana mwishowe akajikuta anamdhalilisha Mkuu wa Nchi
Aliishi Michigan, watu walimtafuta kwa mbinu za medani akajikuta kaingia kwenye 18 za Nchi
Alikuja akapigwa pipe akarekodiwa then akaachiwa huru arudi zake US akaambiwa nenda kaendelee ku post, mpaka leo hajarudia, Baba yake alikuwa Waziri wakati wa Nyerere na sasa hivi mmoja wa ndugu zake wa karibu ni Mbunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu stupid kwenye nchi hii, yaani hawana mbele wala nyuma, kazi yao kujikomba tu, Idrisa ameweka picha halali hajai edit, ndivyo ilivyopigwa, mleta mada ameuliza walioko kwenye picha wamelalamika popote ?, sioni kosa la Idrisa asliani.. tuna rais wa ajabu sana nyakati hiziEvery human being is subject to praise and ridicule!
Wewe unataka praises tu,who are you?God?
Artistic humour ni haki ya msingi ya wanadamu,yeye kama mkuu wa nchi anatakiwa kuilinda hata kama hiyo humour inamuuza yeye binafsi!
Sijui lini tutafikia demokrasia tu hata ya Kenya!
We are all doomed!
Wagagagigikokonimepita mitandao mikubwa Africa,tunachekwa sana. tunaonekana kituko
Wagagagigikoko
Jr[emoji769]
Sina balakonya ningesema kitu
kabisa mkuu,nahisi anakosa washauri ama hana visionWonderful!
Sasa huyu ninayomwengelea mimi, akiamua kufanya hivyo, yeye ndiyo atakuwa KUBWA LAO, hiyo shaka mimi sinakabisa mkuua kabisa, kwa sababu mpaka muda huu, amerusha kipindi chake nadhani haipungui miaka kumi. Sasa tuseme akiamua kuandika Proposal halafu akaambatanisha na hizo picha kama ushahidi, kwa kuanzia mimi naamini kabisa hata Serikali wenyewe tu lazima wampe support ya hali ya juu mno, both financially and morally. Sasa kitu kikishapata support ya Serikali, kupata financial support kutoka kwenye organisations za ndani na za nje ya Nchi ni kitu cha kugusa tu. Hapo bado watu binafsi wenye ukwasi na wengine ambao ni walala hoi kama sisi akina Makanyaga. Yaani huyu mama mimi naona kama amekalia jiwe la almasi akidhani ni tofali la udongo, huku akiomba watu wamsaidie.
Kitu kingine ambacho hakileti picha nzuri sana katika program yake, ni kwamba inamuonyesha kama yeye haguswi, na hivyo anafanya tu kwa sababu anajua wapo watakooguswa, na ni wengine nje ya yeye. Akianzisha organisation itaonyesha pia kuwa na yeye pia anaguswa na hali walizonazo wateja wake.
Tafadhali mimi naomba mama huyu aanze kufikiria namna ya kubadilisha mfumo wa program yake. Ni program ya maana mno watu hatuwezi kuvumilia kuendelea kuiona iko hivyo hivyo miaka nenda rudi, inafanya kwa mtindo wa zimamoto wakati ingeweza kufanya kwa namna ambayo ingetoa mchango mkubwa sana na wa hali ya juu mno na wenye kuleta impact kubwa sana kwa Taifa.
Hata hivyo mpaka muda huu, bado naendelea kumpongeza sana kwa idea yake hiyo
jamaa lile sapraizi la Horohoro limewachanganya na kuwauma kweli,sa hivi wanaishia kutukana tu hahahaa