Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Kwa akili zako unataka mh asimame aseme au? Hiyo ni kazi ya vyombo vya dola
Vyombo vya dola ndio vinajua muhusika kapata maumivu kiasi gani?

Kama yupo offended yeye ndio atoe lawama na mashitaka.

To begin with no wonder muhusika likes the humour,people like you and other regime dick suckers ndio mpo busy doing mustabation!

What a bunch of losers!
 
Utamu wa kujin'gata ulimi......ah ah ah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu stupid kwenye nchi hii, yaani hawana mbele wala nyuma, kazi yao kujikomba tu, Idrisa ameweka picha halali hajai edit, ndivyo ilivyopigwa, mleta mada ameuliza walioko kwenye picha wamelalamika popote ?, sioni kosa la Idrisa asliani.. tuna rais wa ajabu sana nyakati hizi
 
kabisa mkuu,nahisi anakosa washauri ama hana vision
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…