Idris Sultan ataonekana katika filamu ya ‘Ballin …On the Other Side of the World

Na kwavile amepewa sehemu kubwa, I bet jamaa atafanya vizuri sana na huenda ndo akatoka jumla!!! Na kukiwa na some comeds ndani yake, hesabu wameumia!!
He deserves this, he is presentable, na yai analitema. Wema atarudi kuomba yaishe.
 
Na kwavile amepewa sehemu kubwa, I bet jamaa atafanya vizuri sana na huenda ndo akatoka jumla!!! Na kukiwa na some comeds ndani yake, hesabu wameumia!!
True, lets wish him a best luck.
 
Hongera zake akifanikiwa kurudi na pesa asisahau wakina WEMA SEPENGA wanamsubiri.
 
Na kwavile amepewa sehemu kubwa, I bet jamaa atafanya vizuri sana na huenda ndo akatoka jumla!!! Na kukiwa na some comeds ndani yake, hesabu wameumia!!
Anaweza kijana, mie namvulia kofia alivyoweza kuishi na yule mnegeria mkorofi kwenye big brother. Kijana ana nyota ya kupendwa na zaidi ht yeye anajua kupenda wenzie ndio maana maisha kwake yanakuwa rahisi.
 
Bahati aliyoipata mwanzo ya 500m Tsh na kuichoma yote hata akionekana kwenye movie "Eating inside of the universe " na kina Tom cruise, Ronald De caprior etc sitoshangaaa.
 
Back
Top Bottom