mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Maisha yakibamba hayo mapambio tunasahau sista, tunabaki kuwaza bills tupu, uanaume ni stress ujue. Hapa nilipo nawaza ada za watoto, kodi ya nyumba mwezi ndo unaishia hivyo, umeme, maji, sijui maziwa ya mtoto, mshahara wa housegirl bado school bus nadaiwa, ndg nao bado wanakuangalia wewe, hilo wazo la kukaa nicompose jumbe kama za kina Idriss litakuja kweli sista? haya tuseme nimejitahidi nimeweza kucompose, nimemrushia mamsapu, je atafurahi kweli wakati hela yake ya saluni tu sijui mchongo wa bestito wa harusi unapotezea potezea, aaah no way!!Hahaha sio kazi at all, basi tu mnachukuliaga poa
Hao kina idriss wenzetu wanatafuta followers watengeneze mshiko, so wako kazini hapo. Ndo maana kila siku wanawarushia tukio, mara wako kitandani, mara sijui wanapigana busu, mara wameshikana sijui wapi, lakini hiyo yote ni kumaintain followers na kuattract new ones. Hakuna penzi hapo wala ndg yake kupenda, they are at work