Mpoki na swebe si wapo efm ama?mpoki, swebe, dauda, idris...
Basi wa dizaini hiyo wapo wengi sana.Anazungumzia walioajiriwa kwa ujanja ujanja wa mjini lakini hawana taaluma ya habari
hao ni baadhi ya watangazaji ambao hawajasomea taaluma hiyoMpoki na swebe si wapo efm ama?
Ha ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikoseiSi ujanja ujanja wa mjini ,utangazaji sio lazima shule
dauda hajasomea jounalismDauda shafih? Kama ni huyo jamaa kaenda shule
Ha ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikosei
Kampuni vepe hailipi? Utangazaji unalipa zaidi....
Nimekusoma..Hao wako kibao aisee..Ila wengi wao wanafanya poa sana...hao ni baadhi ya watangazaji ambao hawajasomea taaluma hiyo
Kaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!Ana taaluma ya utangazaji.?