Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

angenipa mimi hio hela nilimie tu mwee 500M si ningekuwa mbali mie..
mjini na kulima wapi na wapi sister?. huku tunafungua kampuni na kupiga selfie na story ofisini mpaka mtaji ukateee.
 
Ha ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikosei
Kampuni vepe hailipi? Utangazaji unalipa zaidi....
Mwenzie anaejiita bikira alikuwa anahubiria watu kila siku wasiajiriwe wajiajiri
 
We mtu yuko insta daily ana kwambia ajira cyo issue, wanakuwaga wazush ao
 
Back
Top Bottom