Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
mjini na kulima wapi na wapi sister?. huku tunafungua kampuni na kupiga selfie na story ofisini mpaka mtaji ukateee.angenipa mimi hio hela nilimie tu mwee 500M si ningekuwa mbali mie..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mjini na kulima wapi na wapi sister?. huku tunafungua kampuni na kupiga selfie na story ofisini mpaka mtaji ukateee.angenipa mimi hio hela nilimie tu mwee 500M si ningekuwa mbali mie..
Mwenzie anaejiita bikira alikuwa anahubiria watu kila siku wasiajiriwe wajiajiriHa ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikosei
Kampuni vepe hailipi? Utangazaji unalipa zaidi....
Nae hajaajiriwa eehMwenzie anaejiita bikira alikuwa anahubiria watu kila siku wasiajiriwe wajiajiri
Na mm ndo nilikua nafikiria hivo hivo mhh sitaki kuongea mie ili kuvunja watu mioyoNa kile kithembe sijui atakua anatangazaje sasa?
Hahaha ngoja tusubiri tuone MkuuNa mm ndo nilikua nafikiria hivo hivo mhh sitaki kuongea mie ili kuvunja watu mioyo
Halafu hachekeshi sasa ndo ubaya ulipoYale mautani yake atayahamishia kwenye radio ,ananiudhigi