Idris Sultan: Best comedian kwa sasa

sio kwamba nina chuki nae hapana...ila jamaa huwa namuona kama kituko hajawai kufikia ata robo ya huo ucomedian.....tanzania comedian wa ukweli sema hajiweki vizuri ni mpoki pekee......uyu jamaa anaonekana kbs analazimisha fani.....hamna kitu....mtazame Erick wa kenya ndio utaelewa macomediana
 
Mi binafsi Idris ananichekeshaga sana tu huwa ana maneno ya kuchekesha
 
Bila shaka ni story tu ya kuzima ile story ya kutimuliwa kwenye nyumba ntaamini siku nikiona ana bonge la tumbo, sijui ntaaminije make photoshop nazo kiboko
Amini, Usiamini, Wema sasa mjamzito.
Mtajimurder!!!
 
"mimba my foot" in wema's voice ha ha ha
Siku nikiona tumbo nitampa hongera, nilitoa hongera kwenye ile nyumba alosema kanunua m400, nikatoa hongera kwenye ile picha kavaa shela akasema kaolewa.....this time nasubiri kwanza
Ulitoa hongera kwa kujinunulia range?! Hahahahahah
 
Mkuu hebu mwambie aje na huku jf aje kutuchekesha kama ni kweli best Comedian.
 
Evelyn Salt
Asee hii mimba ilikuja alivyoambiwa zaa wako mzuri Kama unaweza!! Basi wee kesho yake asubuhi namapema mchakato Wa kuzaa ukaanza, Mara hongera mama kijacho, na mtoto juu wakakodi eti kupractice!!!!!
hahahahahaaaa,mkuu hiyo mimba subiri tuje tuambiwe ni miscarriage,kutokana na maneno ya karaha ya wana IG!tutaambiwa midomo ya binadamu ni mibaya mno wameitia nuksi mimba ya madame mpka imeharibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…