Idris Sultan: Best comedian kwa sasa

Kupost memes Instagram ndo kawa comedian?
 
Evelyn Salt
Asee hii mimba ilikuja alivyoambiwa zaa wako mzuri Kama unaweza!! Basi wee kesho yake asubuhi namapema mchakato Wa kuzaa ukaanza, Mara hongera mama kijacho, na mtoto juu wakakodi eti kupractice!!!!!
Diamond kiboko, akisema beba mimba uzae wako kesho mimba inabebwa ha ha ha ha ha ni zaidi ya muujiza wa roho mtakatifu
 
Honestly say mimi huwa ananichekesha.
 
Hapana braza k ni shida aisee kwa Tanzania
 
WHAT THE PHUCK!!!!! HIVI MNAIFAHAMU COMEDY VIZURI AU MNA ISHIA KUANGALIA MTU ANA JIFANYISHA UJINGA MNASEMA COMEDY... NI MARA 100 NIKA ENDA KWENYE PAGE YA @stanbakora au mpoki joti Masanja @bulazaK Kiwewe mtanga @kelvinHart @ericomondi walau kidogo ntacheka kuliko ya huyu shemeji yenu.... I don't see any comedy but foolish stuffs......
 
Jamaa hata hachekeshi , mi huwa nashangaa sana...
 
Hapana braza k ni shida aisee kwa Tanzania


Hata mfalme Majuto alipoulizwa alisema brother K ndo mrithi wake jamaa anamtishia hata yeye alipofanya naye movie , yaani brother K ukimwona tu na shati lake unaanza kucheka , nini Idriss sura ndefu kama hipsi la wema
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…