Idris Sultan: Best comedian kwa sasa

Kwa hiyo hata ukimwona barabarani itakuwa ni photoshopo...!! Hii sasa kiboko japo haiishi majini
Hana mimba na wakina mama wameambiwa kuchunga watoto wachanga majumbani na hospitali ogopa mtu anaejisingizia mimba
 
Mi nasubiria kuona jinsi gani atavyo iyeyusha hiyo mimba hewa.
Kina mama wawe makini na watoto wachanga majumbani na hospitali, ogopa mtu anaejisingizia mimba ha ha ha..... Labda atadanganya kapata miscarriage
 
Kina mama wawe mmakini na watoto wachanga majumbani na hospitali, ogopa mtu anaejisingizia mimba ha ha ha..... Labda atadanganya kapata miscarriage

ni kweli cz anaweza hata akajieka tumbo la bandia then miez tisa ikifka mtasiikia kajifungua kumbe ktoto kimenunuliwa kama sio kuibwa!
Kwa uchungu alonao wa dai kuzaa na zari angeshatupia ultrasound na tumbo insta..na mimba ingevuma kama ya kim kardashian! tungekosa usingizi...HANA MIMBAAAA
 
Bado uone kuna watu wanamponda alaf Sikh akifa utashangaa et R.I.p legend hakuna kama idriss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…