Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kumbe ni ya msukuma ha ha ha mashabiki zake wanasema ya Idris mi binafsi naona itakuwa ya Luis munanaWema si alikuwa na mimba ya msukuma au imeyeyuka?
Cc warumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni ya msukuma ha ha ha mashabiki zake wanasema ya Idris mi binafsi naona itakuwa ya Luis munanaWema si alikuwa na mimba ya msukuma au imeyeyuka?
Hana mimba na wakina mama wameambiwa kuchunga watoto wachanga majumbani na hospitali ogopa mtu anaejisingizia mimbaKwa hiyo hata ukimwona barabarani itakuwa ni photoshopo...!! Hii sasa kiboko japo haiishi majini
Wema hana mimba, angekua nayo yule alivo hashindwi kuweka picha akiwa anatapika
Kina mama wawe makini na watoto wachanga majumbani na hospitali, ogopa mtu anaejisingizia mimba ha ha ha..... Labda atadanganya kapata miscarriageMi nasubiria kuona jinsi gani atavyo iyeyusha hiyo mimba hewa.
Kina mama wawe mmakini na watoto wachanga majumbani na hospitali, ogopa mtu anaejisingizia mimba ha ha ha..... Labda atadanganya kapata miscarriage
Wee dada huwa nabaki kucheka comments zako funguka basi huo u mamba(kiboko)wake please my sister.Wengine wanamuita "kiboko ya wagumba" watu bana teh
Bado uone kuna watu wanamponda alaf Sikh akifa utashangaa et R.I.p legend hakuna kama idrissHabari wakuu,
Mi mgeni humu naomba nizungumze kitu.....
First naomba niweke wazi kuwa huyu jamaa hajawahi kunichekesha hata siku moja. Nilitabasamu kiduuuuuchu ile clip ya remy ongala aliyoikata na kujiweka kashika kisu. Pale kidogo nilitabasam kwa mbaaaaali. Lakini ukweli ni kuwa I dont find this guy funny at all.....
WHY IS HE THE BEST COMEDIAN
Nimempa cheo hiki coz kwa sasa hakuna page katika insta ambayo kwenye comments watu wanacheka sana kama page yake. Humo utaona hadi watu wanalalamika kuumizwa mbavu (Mi huwa nashangaa sana) . . . So kutokana na hili, sina budi isipokuwa kukiri kuwa Idris Sultan is currently the best comedian in instagram.....
Where is 500m za BBA?Bado uone kuna watu wanamponda alaf Sikh akifa utashangaa et R.I.p legend hakuna kama idriss
Mi bhanaa sijaelewa kabisaa yanii, embu tumia lugha nyepesi kama kichaa wetu bhanaaWengine wanamuita "kiboko ya wagumba" watu bana teh
Alimpaga wema mimba ya kufikirikaMi bhanaa sijaelewa kabisaa yanii, embu tumia lugha nyepesi kama kichaa wetu bhanaa