GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kabisa Mkuu, huyu jamaa tangu nimeanza kumfuatilia ana kauoga hivi na kujipendekeza kwa watawala.Uoga wako unakutesa sana!
Kabisa Mkuu, huyu jamaa tangu nimeanza kumfuatilia ana kauoga hivi na kujipendekeza kwa watawala.
Acha woga na kujipendekeza kwa watawala, acha msanii afanye kazi zake za sanaa. Usimtishe awe mwoga kama wewe Mkuu.Nani huyo? Mtaje usiogope hii ni nchi Huru!
Kwani mzukuku anasemaje ?Nikichukua fomu Kigamboni wala hata msiandae kura, andaeni masongi ya mazishi na rambirambi za kutosha.
Idris Sultan
Umemchokonoa Baba yake Kipenzi na akakutia 'Kimuhemuhe' hadi ukawa unatia Huruma kwenda kuishi jela sasa umehamia kwa Mtoto Kipenzi.
Mwana kuli"get"Mwana kuli "find"...........!
Let's meet at the top, cheers 🥂
Mwana kuli"get"
Kabisa Mkuu, huyu jamaa tangu nimeanza kumfuatilia ana kauoga hivi na kujipendekeza kwa watawala.