Idris Sultan hujakoma tu Kijana?

Kwani amesema atashambuliwa na mtu au amemtaja mtu Jina? Maana waliochukua fomu ni wengi.
Msimtishe.
 
Ila nadhani atakuwa amejenga na ana magari,ila kwa hela aliyopata mambo media yasingekuwa na haja angejikita kwenye miradi tu
 
Ila nadhani atakuwa amejenga na ana magari,ila kwa hela aliyopata mambo media yasingekuwa na haja angejikita kwenye miradi tu
Kabisa Mkuu angekuwa na projects kubwa ya kuajiri vijana kibao sasa na sio hizo buku 10 10 za matangazo insta na vichekesho vya kulazimisha youtube aongeze views!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…