Idris Sultan: Lulu ametulia, ni wife material

Idris Sultan: Lulu ametulia, ni wife material

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
xidriss.jpg.pagespeed.ic.WEBIeDjzOn.jpg


Mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan amedai katika tasnia ya filamu, mrembo Elizabeth Michael ‘Lulu’ ndiye msichana mwenye sifa ya kumuoa.

Idris ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Wema Sepetu na baadae kuachana, ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM kuwa Lulu ndiye msichana ambaye anahisi ametulia.

“Mimi naona Elizabeth Michael ametulia sana,” alisema Idris. “Ni staa ambaye namuona yuko vizuri, amesimama, mwenye vigezo vya mwanamke ambaye ametulia, anajiheshimu na vitu kama hivyo.”

Aliongeza,”Lakini mwisho wa siku sisi ni marafiki, yaani unaweza ukanikuta hapo na Lulu yeye amevaa kibikini chake na mimi nimevaa kiboksa changu lakini niwashkaji tu,”

Idris ambaye pia ni mtangazaji wa Choice FM, alifunguka hayo baada ya kuulizwa ni mrembo gani bongomovie ambaye anamtamani kutoka naye kimapenzi.
 
anaanza kujisogeza taratiiiibu..
 
Sepenga vipi kwani?![emoji30]..namkubali Lulu kwasababu hana mikucha mirefu ya kubandika kama shetani
 
Atampa nini wakati million 500 kwenye zimeisha,
Ametulia sababu anapata kila kitu sio kwa sababu ni mtulivu.
 
hivi huyu sultani hat mil 10 kwenye acount bado zipo kama zipo amushukru Mungu wema hakuzichungulia
 
Kaulizwa anatamani kutoka na nani kajibu Lulu kwa kuwa hajawahi kuwa nae siku akimpitia lulu akiulzwa swali hili si ajabu akasema anamtamani Mobeto kwa hili kijana anatamani wale ambao hajawalamba.
 
Huyu dogo hajakua bado kumbe hajui kuwa kwenye pesa watoto wazuri ndio wanatulia aliimba nani yule..... teh teh teh na mifano hai munayo wapendwa
 
Back
Top Bottom