Idris Sultan: Lulu ametulia, ni wife material

Idris Sultan: Lulu ametulia, ni wife material

namuona mkurugenzi wa e fm kwa mbaaaaaaaaaalii akiwaza jambo.
 
Kwa akili za Idd wema ndio perfect combo kwake... Wamefanana akili
 
Lulu hakanaga mashoga uchwara mashoga ndio sumu ya watoto wa kike yuko bize na maisha yake
 
Masikini Idrissa
Kweli bahati haiji mara mbili.
 
Hivi mama ubaya Ana gundu gani? Kwanini asitafute mtu asie maarufu akatulizana azae japo kitoto kimoja tu, maana kutwa namuona na vimbwa vyake kabeba
 
  • Million 500 alafu hana hata kibanda cha kusingiziwa!! Non sense kabisa
 
Back
Top Bottom