Idris Sultan: Madereva wote wa Serikali wavae Samia Suit. Mnavaa suti za Kaunda wakati hamumjui, Samia mnamjua

Idris Sultan: Madereva wote wa Serikali wavae Samia Suit. Mnavaa suti za Kaunda wakati hamumjui, Samia mnamjua

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Naona safari ya Korea imetiki! Tunazidi kukuza vijana waliojaa funza na kamasi kichwani!

===


Mwigizaji wa filamu nchini Idris Sultan ambaye pia ni Jaji katika Onyesho la Samia Fashion Festival Idris Sultan amesema kuwa watu wanazungumzia kuhusu 'Kaunda Suit' ila Watanzania hawamjui, hivyo ni wakati sasa wa kuvaa 'Samia Suit' ili kutambua mchango wa Rais.

Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Idriss ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam kulekea tamasha la Samia Fashion Festival ambalo linatarajiwa kufanyika Novemba 30 mwaka huu Visiwani Zanzibar ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa Rais Samia.

So far waliofanya challenge hii ni wanawake (kwasababu Rais Samia ni mwanamke nadhani), baadhi hao hapo chini.

Sijaona picha hata moja wakiwa wamepiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa, ile kwenye uchawa wao mstari wa kwanza na makwome yao 🤦‍♂️ 🤦‍♂️ 🤦‍♂️

1732808743676.png
1732808764628.png
1732808799585.png

 
Back
Top Bottom