njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Yote kuogopa kulima huko unakuja kujidharirisha hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yes, nikutumie moja kama zawadi?Ni unisex?
Na ushoga wanapitiamo humohumo hawa kengeKwa hii kauli, imefanya nikawanunulie watoto wangu majembe ili tujikite kwenye kazi za Kilimo tu huku shambani
Maana ni aibu kufanya uchawa wa kiwango hiki.
Yaani Mwanaume kabisa una Washauri Wanaume wenzio kuanza kuvaa nguo za kike🙌
Mtu unajiuliza mara mbili mbili, hivi inawezekanaje Mwanaume timamu ukavaa nguo za kike na ukaona kawaida?Na ushoga wanapitiamo humohumo hawa kenge
we pia utakupendeza
Labda ni vazi unisex mkuu, Idriss Sultan angeanza kwanza kulivaa yeye tuone linamkaaje.Mtu unajiuliza mara mbili mbili, hivi inawezekanaje Mwanaume timamu ukavaa nguo za kike na ukaona kawaida?
HakikaUsipoteze muda kutafuta elimu ukiwa Africa hasa Tanzania....wekeza tu kwenye kuwa chawa na hakika utatoboa.
Kama wewe ni dereva wa serikali lazima utavaa, Idriss ameshasema.Hiyo suit anayotaka haina mvuto hata kidogo .bora Kaunda suit na siyo huo uchafu wao.kwanza mwanaume utaanzaje kuvaa Hilo bwanga?
Umepewa offer, chukua
Hakuna cha unisex wala nini, hao Vijana Kuna agenda wanazi-pushLabda ni vazi unisex mkuu, Idriss Sultan angeanza kwanza kulivaa yeye tuone linamkaaje.
Wakuu,
Naona safari ya Korea imetiki! Tunazidi kukuza vijana waliojaa funza na kamasi kichwani!
===
Mwigizaji wa filamu nchini Idris Sultan ambaye pia ni Jaji katika Onyesho la Samia Fashion Festival Idris Sultan amesema kuwa watu wanazungumzia kuhusu 'Kaunda Suit' ila Watanzania hawamjui, hivyo ni wakati sasa wa kuvaa 'Samia Suit' ili kutambua mchango wa Rais.
Idriss ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam kulekea tamasha la Samia Fashion Festival ambalo linatarajiwa kufanyika Novemba 30 mwaka huu Visiwani Zanzibar ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa Rais Samia.
So far waliofanya challenge hii ni wanawake (kwasababu Rais Samia ni mwanamke nadhani), baadhi hao hapo chini.
Sijaona picha hata moja wakiwa wamepiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa, ile kwenye uchawa wao mstari wa kwanza na makwome yao 🤦♂️ 🤦♂️ 🤦♂️
View attachment 3164494Samia suti ndio ipi, wanaune jee