Idris Sultan: Madereva wote wa Serikali wavae Samia Suit. Mnavaa suti za Kaunda wakati hamumjui, Samia mnamjua

Mimi nadhani wa kulaumiwa sio hao vijana wanaojitoa ufahamu bali ni huyo anae elekezewa sifa, kama ingekuwa hapendi kusingekuwa na kitu kana hicho.
 
Kwa hii kauli, imefanya nikawanunulie watoto wangu majembe ili tujikite kwenye kazi za Kilimo tu huku shambani

Maana ni aibu kufanya uchawa wa kiwango hiki.

Yaani Mwanaume kabisa una Washauri Wanaume wenzio kuanza kuvaa nguo za kike🙌
Na ushoga wanapitiamo humohumo hawa kenge
 
Na ushoga wanapitiamo humohumo hawa kenge
Mtu unajiuliza mara mbili mbili, hivi inawezekanaje Mwanaume timamu ukavaa nguo za kike na ukaona kawaida?

Mwisho wa Siku watasema jina la Samia japo ni la kike wapewe hata watoto wao wakiume

Ni aibu 🙌
 
Mtu unajiuliza mara mbili mbili, hivi inawezekanaje Mwanaume timamu ukavaa nguo za kike na ukaona kawaida?
Labda ni vazi unisex mkuu, Idriss Sultan angeanza kwanza kulivaa yeye tuone linamkaaje.
 
Hiyo suit anayotaka haina mvuto hata kidogo .bora Kaunda suit na siyo huo uchafu wao.kwanza mwanaume utaanzaje kuvaa Hilo bwanga?
 
Labda ni vazi unisex mkuu, Idriss Sultan angeanza kwanza kulivaa yeye tuone linamkaaje.
Hakuna cha unisex wala nini, hao Vijana Kuna agenda wanazi-push

Imagine unapigia promo nguo za kike Kwa Wanaume wenzako hadi mishipa inakutoka vile kama sio huo ufirauni wao nini tena
 
Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…