Lil dove
Senior Member
- May 9, 2017
- 155
- 196
Mmmh..hilo jibu umelitoa ndotoni au?mbunge wa viti maalumu kwa upande wa wanawake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh..hilo jibu umelitoa ndotoni au?mbunge wa viti maalumu kwa upande wa wanawake
Kila mtu dar ni shoga? Hamna tusi jingine mana hilo lishakuwa hadi gumu kuamini.
Huyo basi tena,he got a shot na kaipoteza,ataishia kupata hela ya kula tu,vyumba viwili na gari ndogo ya kutembelea.😀😀😀Na ndio maana wanamuogopa kiazi mkubwa huyu! Keshachoma nyota yake ya utajiri.
Watu wakikosana kidogo tu unasikia “shoga hilo”Si kila mtu ila vijana na wanaume wengi Dar wako hivyo, yaani tete ni sawa tu na wanaume wa Zenji.
Yeye alijulia wapi habari za huyo mshikaji?
Watu wakikosana kidogo tu unasikia “shoga hilo”
Utata mtupu
Kocha wa ArsenalNdo nan uyu
Huyu nae ndio nani?
Hata awe na mapembe mwanamke hawezi kumuogopa mwanaume wewe uwe tu na vitu hivyooo 3
1. Pesa
2. Pesa
3. Pesa
Aaah umenikumbusha mkuu nilijisahauumesahau namba nne
4.Pesa