Idris Sultan: Wanawake wananiogopa

Kwahiyo Wema Sepetu hakuwa Proper kwake?
Walishaachana?
 
Mwanamke anaejitambua hawezi kumkubali huyo na vichupi vyake,atampeleka wapi na matangazo yake feki ya chupi
 
Huyu jamaa bana yan tangu Madam aitafune ile M500 kawa km chizi flan hiv,haelewek kabisa
 
Huyu jamaa huwa anachekesha sana anaposema ye ni "comedian" kwenye vichekesho vyake vingi hiki ndio nakikubali
 
Comedian Wa kujilazimishia Hana anachochekesha....hana lolote upande Wa comedy....ila ni smart na anafit matangazo benk,mavazi ,biashara viatu,Mc...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…