Idris Sultan: Watu wametafuna pesa zangu mpaka zimeisha

IPO shilingi ngapi?
No no no let us not rush him, kile Alosco Kwa Gharib Said Mohamed Leo wanaitwa GSM kukwepa Koffi uliacha Ngasi au Gari walikupa la bure bure tu? Fala makubwa we eti maisha yanaendelea. Ukiwa studio Za fm radio? You were much much much bigger that all that Bulshit, mama Mia
 
Yaani hapo umenena zitakuwa zimemalizwa na starehe tu hakuna lingine
 
Hiyo hela sio nyingi sana kama watu wanavyotaka tuamini, usipokuwa guided wapi ufanye investment, itaisha bila kujua. Hasa hasa unapokuwa maarufu.
Mkuu @Quartepin seriously unasema mill500 kibongo bongo ni hela ndogo???utakuwa unatania...kijana umri wa huyu bwege kwa pesa ile alitakiwa kutuliza akili hata kama hana idea ya biashara angewekeza kwenye majumba angalao mill350 hiyo 150mill akajitangaza umaarufu mjini.kipindi anapata hiyo pesa kwa mji kama Dar mfano maeneo ya Magomeni nyumba zilikuwa zinafika 120/140mill na ziko center nzuri kama angewekeza japo akapata nyumba zake mbili saizi angeziuza 300 kila moja angekuwa wapi?kaishia kuwaandalia malaya birthday party hakuna lolote alilofanya!kiazi mkubwa.
 
Huyo mtoto mwehu kabisa. Kaenda kuanzisha uhusiano na mlanguzi wa mapenzi altarajia nini?
Dada kawasaki alinikanya
Hapa mjini nenda pole pole
Kuna walanguzi wa mapenzi
Waikaange roho yako inyauke kama mti
Maringo bint maringo nitakukumbuka daima
Kwenye kitabu cha kumbukumbu
Mateso yako nitaandika
Maalim muhidini gurumo alinena vema na ottu jazz.
 
Yeah, ni nyingi ndo maana nikasema usipojua cha kufanya zinweza kwisha, ukumbuke jamaa ni maarufu, watu wa aina yake hawatumii vitu vya kishenzi shenzi, wala hawakai mahali pa hovyo hovyo, so maisha kwao yanakuwa gharama zaidi sio Tz tu kote duniani wako hivyo. Mkuu investment za nyumba watu wengi tunazipenda ila zina changamoto zake, hiv mtu akanunua nyumba mikochen sehemu prime kabisa, mvua kidogo tu zikinyesha inabid uhamie hotelin, unadhan kuna thaman tena hapo? me naamin kwanza bado hela anayo, yule dogo mjanja, hawez kuishiwa kirahis hiz ni media tu, ila ambacho angefanya angewakopesha benki kwa muda ili afanye utafiti kitu gani cha kufanya, kwa mwezi asingekosa milioni tatu, za kupunguzia machungu. Baada labda ya mwaka au muda anaotaka angekwenda kuchukua hela yake akafanya biashara anayotaka.

 
hakuna biashara inayofilisi kama madini mkuu...mabroker wengi wamechoka hawana kitu
 
500m kama akili yako sio nzuri hata mwaka hauishi imeshapotea. .

Kama hujawahi kushika hela nyingi utabisha
tatizo humu kuna watoto wengi hawajui pesa..pesa wanayoijua ni ya boom tu la chuo..milioni 500 ni pesa ndogo sana...Wamuulize diamond anatumia sh. Ngapi kwa mwezi ndio watashanga..pesa ndogo sana hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…