Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Na wewe tufanyie mpango tuone wowo WO yako basi
Si wakina idriss sultan na wema sepetu.Ndio kina nani hao?
Mpo nao huko daslamu?Ndio kina nani hao?
Nimecheka kwa sauti hadi watu wa pembeni wakashtuka.Simjui huyo mtu mwenye anaitwa Idris Sulukan (in Kenyan accent) lakini apatiwe PhD mara moja