Idris Sultan: Wema Sepetu ni maliasili ya taifa, ni muhimu auachie mwili wake ili watu wauone

Idris Sultan: Wema Sepetu ni maliasili ya taifa, ni muhimu auachie mwili wake ili watu wauone

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
IMG_4200-1.jpg


Baada ya kuvuja kwa picha na video zikimuonesha mrembo Wema Sepetu akiwa kwenye Swimming Pool.
Hatimaye aliyewahi kuwa Boyfriend wake Idris Sultan amesema picha hizo aliziona na amechukulia kawaida.

Akiongea na waandishi wa habari Jumapili Aprili 01, 2018. Idris amesema kuwa Wema Sepetu ni maliasili ya taifa hivyo hakuna tatizo kama akiamua kuonesha mwili wake kwani watu wengi wanataka kuuona.

Idris alipoulizwa tukio la kuvuja kwa video hizo za Wema alilipokeaje? alijibu “Maliasili ya taifa, I think ina haki ya kuoneshwa kwa wananchi wanaotaka kuiona.”

Source: Bongo 5.
 
Keki ya taifa.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mwangalie dogo anayeogelea hapo anavyomtumbulia macho wema
Kweli wema azeeke tuu nasisi tutembee nae
Baada yamiaka kumi natano nitatembea nawema wangu najua atakuwa amechoka sana
 
Idris hajawai nivunja mbavu before ila kwa hili jibu mujarabu nilijikuta kicheko kimetoka cha bei yote

Ila nahs kawivu pia kanamtafuna kujua manz karud kwa daimondo and she z happy as if ameiona pepo.
 
Back
Top Bottom