Sele Mkonje JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 643 Reaction score 845 Aug 20, 2016 Thread starter #161 la fiducia said: Kwani hakujua kama yule mwanamke ni wamaonyesho! Haina jinsi wema inabodi awekwe makumbusho kwa ajili ya kuvutia utalii wa ndani na aongeze pato la taifa! Click to expand... Dah
la fiducia said: Kwani hakujua kama yule mwanamke ni wamaonyesho! Haina jinsi wema inabodi awekwe makumbusho kwa ajili ya kuvutia utalii wa ndani na aongeze pato la taifa! Click to expand... Dah
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Aug 20, 2016 #162 Atajuta,kaacha mwanamke wa maana,kakimbilia kubemendwa
Sele Mkonje JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 643 Reaction score 845 Aug 21, 2016 Thread starter #163 kabombe said: Atajuta,kaacha mwanamke wa maana,kakimbilia kubemendwa Click to expand... wataalam wanakwambia ameruka mkojo amamekanyaga naniliu
kabombe said: Atajuta,kaacha mwanamke wa maana,kakimbilia kubemendwa Click to expand... wataalam wanakwambia ameruka mkojo amamekanyaga naniliu
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Aug 21, 2016 #164 Sele Mkonje said: wataalam wanakwambia ameruka mkojo amamekanyaga naniliu Click to expand... Samantha angemfikisha mbali kiuchumi Idris,ameshindwa kabisa kupata mikataba ya kimataifa,ameishia kuwa mtangazaji wa Choice fm!
Sele Mkonje said: wataalam wanakwambia ameruka mkojo amamekanyaga naniliu Click to expand... Samantha angemfikisha mbali kiuchumi Idris,ameshindwa kabisa kupata mikataba ya kimataifa,ameishia kuwa mtangazaji wa Choice fm!
Sele Mkonje JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 643 Reaction score 845 Aug 22, 2016 Thread starter #165 kabombe said: Samantha angemfikisha mbali kiuchumi Idris,ameshindwa kabisa kupata mikataba ya kimataifa,ameishia kuwa mtangazaji wa Choice fm! Click to expand... yani jamaa hana washauri wazuri kabisa
kabombe said: Samantha angemfikisha mbali kiuchumi Idris,ameshindwa kabisa kupata mikataba ya kimataifa,ameishia kuwa mtangazaji wa Choice fm! Click to expand... yani jamaa hana washauri wazuri kabisa