Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
- Thread starter
- #161
DahKwani hakujua kama yule mwanamke ni wamaonyesho! Haina jinsi wema inabodi awekwe makumbusho kwa ajili ya kuvutia utalii wa ndani na aongeze pato la taifa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DahKwani hakujua kama yule mwanamke ni wamaonyesho! Haina jinsi wema inabodi awekwe makumbusho kwa ajili ya kuvutia utalii wa ndani na aongeze pato la taifa!
wataalam wanakwambia ameruka mkojo amamekanyaga naniliuAtajuta,kaacha mwanamke wa maana,kakimbilia kubemendwa
Samantha angemfikisha mbali kiuchumi Idris,ameshindwa kabisa kupata mikataba ya kimataifa,ameishia kuwa mtangazaji wa Choice fm!wataalam wanakwambia ameruka mkojo amamekanyaga naniliu
yani jamaa hana washauri wazuri kabisaSamantha angemfikisha mbali kiuchumi Idris,ameshindwa kabisa kupata mikataba ya kimataifa,ameishia kuwa mtangazaji wa Choice fm!