Idris wa BBA abakiza million 200

Idris wa BBA abakiza million 200

AMEN....

hahaaaa....dear sasa mie mwenyewe mwembamba.....nikiendesha nadhani watasema haka katoto kameiba gari ya baba yake.....kumbe....

Hahahaaaa hapo sasa,bora mimi BMW sio kubwa sana....
Wewe mwenzangu na range? 🙄🙄
 
Jamani Princess sayun nimekumiss wangu umefichwa nani hebu nicheki kwa hii namba 0688212122
@cc Kim nana
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa Mult choice walisema mshindi wa BBA uwa anakabidhiwa zawadi ya pesa yake mara baada ya muda wa miezi 3. Sidhani kama atakuwa alishalipwa hizo pesa.
 
Wakimpa mchongo wake asiwasahau kuwalamba mademu muhimu mjini wakina kidoti, onyinye, super tall wolp , kanjaa, na katoto ka yule wa bakiri mluzi sijui nani vile eti kanasoma pale kwenye harufu ya samaki lango la meri.
 
Mi nilijua atanunua walau range evoque kama ya jide?? Sasa nyumba yote hyo anapak gari amabyo warumi anatumia kwenda nayo kupiga umbea? Hapana kwa kweli sio gari hlo

Through my detective work I've found that you are a GAY
 
Hii nyumba Ontario kwenye thread yake ya Interview kasema ndo anaishi, Huyu Sultan alituingia chaka ang'oe mademu.

Cool The thing is sina uwezo wa kujenga my dream house kwa sasa, nitafikiria kujenga nikifika umri wa miaka 25. Sitaki kujenga nyumba ambayo baadae ntatamani kuibomoa. Kiufupi quality ya hii nyumba ninayoishi siwezi kuijenga kwa sasa. Hii ni nyumba ambayo Idris Sultan aliishi baada ya kutoka SA alivyoshinda BBA. Same house!!
 
Acheni mambo ya kis##ng utampangiaje mtu matumizi ya pesa zake.kama kutafuta katafuta mwenye wewe ni nani wa kuhoji na kuhukumu
Mara angenunua range mara angebeba bebe za mjn
Acheni ujinga
Muhimu mtu kufanya nn anapenda na anaweza acheni aishi maisha yake mctake aishi vile nn mnataka
PAMBANA NA HALI YAKO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom