Hili jukwaa ni inevitable hadi watu wa siasa wanapitamo huku kimya kimya ndio ushangae sasa
AMEN....
hahaaaa....dear sasa mie mwenyewe mwembamba.....nikiendesha nadhani watasema haka katoto kameiba gari ya baba yake.....kumbe....
Hujambo bi mkubwa?
Nimepita huku kukutafuta weye mwarabu wa kisukuma teh teh!!!
Hahahaaaa hapo sasa,bora mimi BMW sio kubwa sana....
Wewe mwenzangu na range? 🙄🙄
Sijambo,karibu umbeani naona MMU mmeihama mmehamia huku hhhhhhhaaaa
Hahahahaaaa uwiiiii...sitaki mimi!
Sijambo,karibu umbeani naona MMU mmeihama mmehamia huku hhhhhhhaaaa
Mimi RANGE kubwa sana kwangu.Mimi mwembamba na range wapi na wapi?Ile BMW ni habari nyingine bwana.
Ila,kipendacho roho .....
May our dreams come true!
hahahahah.....pole yako
sasa si ungepita kimya kimya jamani?mnanishangaza, hili jukwaa ni la kujadili ma-celeb wetu.
Mi nilijua atanunua walau range evoque kama ya jide?? Sasa nyumba yote hyo anapak gari amabyo warumi anatumia kwenda nayo kupiga umbea? Hapana kwa kweli sio gari hlo
Cool The thing is sina uwezo wa kujenga my dream house kwa sasa, nitafikiria kujenga nikifika umri wa miaka 25. Sitaki kujenga nyumba ambayo baadae ntatamani kuibomoa. Kiufupi quality ya hii nyumba ninayoishi siwezi kuijenga kwa sasa. Hii ni nyumba ambayo Idris Sultan aliishi baada ya kutoka SA alivyoshinda BBA. Same house!!
Unapenda RANGE ipi iyo ...labda naweza kukufikiria [emoji3] [emoji3] [emoji3]yani mtu akitaja RANGE mwili wote unasisimka na vinyolea vinasimama......naipenda RANGE jamani.....