Idriss ahamia kwa Lulu

Kahaba yule hakuwa na mimba alijaza magodoro tumboni
 
Kweli mjini kuovatekiana......nguvu zako tu za mguu kukanyaga mafuta........sasa na modo wetu inakuwaje.......na mtoy.....?......

fanya nikuelewe basi! vitu unavijua lakini, daaah!
 
Lulu ni mtu mmoja smart sana, mtoto mdogo ila akili kubwa huwezi mlinganisha na miss fekero
msifiane huyu kijana , haya magari ni makubwa mfano wa highway, kwa kumuangalia lazima an nchi tisa au kumi, bila ya hivyo huwa hawatoshi
 
Unajuaje labda ndiyo ndoto yake? Hata nanii mbona yeye ndoto yake ni kumiliki gari hata kama chumba hana......#shika adabu yako#

idriss ndoto yake tangu yuko form one liikua ammiliki wema ata kama awe makombo na kampata
 
mm ikitokea nikawa pedeshee, nikiona lulu anaanza kujipendekza kwangu ntatoka mbioo kwa speed ya futi 500 kwa sekunde, mm lulu kwenye swala la mapenzi simuamini hata kidogoo yaani amekaa kiuongo uongo, kiujanja ujanja hiv..kufumba na kufumbua keshakuingiza mjini, kale katoto nahis hakana mapenzi ya kweli hata chembee. Hayo ni mawazo yangu sijuii wanaume wengine wanamwonaje Evelyn Salt Miss Neddy
 
Mkuu hivi na yule Faiza Haider (rafiki yake lulu) nae ni mtu wa michepuko mingi?? warumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…