Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Umejuaje?lulu huwa hachukui vidosho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje?lulu huwa hachukui vidosho
Unapendaaawacha movie iendelee
Kweli mjini kuovatekiana......nguvu zako tu za mguu kukanyaga mafuta........sasa na modo wetu inakuwaje.......na mtoy.....?......
msifiane huyu kijana , haya magari ni makubwa mfano wa highway, kwa kumuangalia lazima an nchi tisa au kumi, bila ya hivyo huwa hawatoshiLulu ni mtu mmoja smart sana, mtoto mdogo ila akili kubwa huwezi mlinganisha na miss fekero
Kwasababu mabwana zake wanaojulikana sio vidosho labda Majiii ndio nusu kidoshoUmejuaje?
KashesheKwasababu mabwana zake wanaojulikana sio vidosho labda Majiii ndio nusu kidosho
siohawaeleweki sema ambao hawana utajir au mapesa na sio celebrity..wanaume ambao hawaeleweki.... Lulu hanaga drama za kipuuzi especially za wanaume...yule ni silent killer
fanya nikuelewe basi! vitu unavijua lakini, daaah!
Lulu anajitambua sana.Ana akili kuliko bongolalaz wote.lulu huwa hachukui vidosho
Sijaelewa ubuyu wa Idris anamaanisha nini?Lulu anajitambua sana.Ana akili kuliko bongolalaz wote.
Hata mimi kanipita akili
Unajuaje labda ndiyo ndoto yake? Hata nanii mbona yeye ndoto yake ni kumiliki gari hata kama chumba hana......#shika adabu yako#idris nae anakula makombo tu
Unajuaje labda ndiyo ndoto yake? Hata nanii mbona yeye ndoto yake ni kumiliki gari hata kama chumba hana......#shika adabu yako#
Asee kipochi Manyoya hakinaga makombo Unasuuza unaendeleaidris nae anakula makombo tu
sasa ww una akili gani? wacha lulu akupiteLulu anajitambua sana.Ana akili kuliko bongolalaz wote.
Hata mimi kanipita akili
kaiacha yupo na huaweiTekno vipi?!