Idriss Sultan ajiweka hatarini

Idriss Sultan ajiweka hatarini

afu bado wakina mbowe na wahuni wenzake wanasema eti Tanzania hakuna uhuru wa kujieleza..nchi za wengine huyo idrisa saivi tungekua tushazika saa nyingi sana.
 
Watumishi wa serikali ndio mnaogopa..hata mitandaoni ham comment chochote hata whatsapp hamjibu text kisa mnahisi mnafuatiliwa [emoji119][emoji119][emoji119] hapo kibaya kipi kafanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuma mtumishi anaogopa,labda wabunge wa ccm,maana watafungiwa vikao vitatu
 
Write your reply...Jee hio post imelenga siasa au ana vipaumbele vyengine ...ana sura nzuri inayouzika ...Jee atakua Kama yule malkia wa wanubi kuelekea kuongoza mapambano yasiyoegemea mrengo wa kisiasa kuun'goa utawala uliokuwepo ...ataweza kuwahamasisha vijana kuleta mabadiliko kazi ambayo kina Zitto na January Makamba imewashinda wameishia kuwa wanasiasa kwenda bungeni kuchukulia mamilioni ya mishahara na posho ...isije kuwa kuanza kufungiwa kazi zake za kumuingizia kipato akashindwa njiani akawa mateka Kama Wema ...na Jee watu Kama hawa so no wanakuwa wameandaliwa kutoka kule jikoni
 
Back
Top Bottom