Write your reply...Jee hio post imelenga siasa au ana vipaumbele vyengine ...ana sura nzuri inayouzika ...Jee atakua Kama yule malkia wa wanubi kuelekea kuongoza mapambano yasiyoegemea mrengo wa kisiasa kuun'goa utawala uliokuwepo ...ataweza kuwahamasisha vijana kuleta mabadiliko kazi ambayo kina Zitto na January Makamba imewashinda wameishia kuwa wanasiasa kwenda bungeni kuchukulia mamilioni ya mishahara na posho ...isije kuwa kuanza kufungiwa kazi zake za kumuingizia kipato akashindwa njiani akawa mateka Kama Wema ...na Jee watu Kama hawa so no wanakuwa wameandaliwa kutoka kule jikoni