Idriss sultan aonesha nyeti zake IG

Idriss sultan aonesha nyeti zake IG

huyu jamaa anaakili kweli? Jamaa ana ndugu?
 
Jaman wambea wenzangu kulikon tena Leo , maana kila kona nasikia picha za idris zimesambaa Ila mbea Mimi sijaziona, kuna mwenye nazo atutumie jaman yani hapa usingiz sina kabisa mpka nipate hizo picha mxiew
Kama ww ni mwanamke sawa kwa aina hii ya post... Ila kama ni dume, hasara.
 
Kuna post imepotea jukwaa na kuja humu, ila sasa kwa ujeuri wa JF, wakaifumbia macho.
 
Mkuu ivi hapo amedhalilishaje? aloionyesha ni yake kama fupu au ndefu hapo wewe unaongiliaje? mtu akiwa mwehu asikushughulishe ukiangalia sana ya watu yako yatakushinda kufanya achana nae.
 
Haijakaa sawa kabisa sijajua ni stress au ni nn hadi kupelekea kuonyesha nyeti yake istagram kwa kweli sijajua ilikuwa ni madhumuni yapi au ana nia gani juu ya hili la leo kawadhalilisha sana wanaume kwa kweli.
Sasa Unadhani Atakuwaje Maarufu Zaidi Sasa
 
Back
Top Bottom