George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Basi tuseme wabongo ni wagumu kukomedika...Wabongo hatujui comedy....embu fatilieni comedians wa kwa wenxetu wanavyofanya hata obama wanamsema in a comedy way but coz obama anajua huyu jamaa ni comedian then wala hatoki povu
Tena wala hajatajwa kwenye tweet ya sultan,[emoji23] [emoji23] [emoji23] Harmonize amepanic
So kumbe kuna ukweli kwa hamonaizIdris na comedy zake za kuungaunga sometimes huwa anaboa alianza na Mond kuhusu wimbo wake wa merry u Mond akamnyamazia.
Sasa leo kahamia kwa harmonize, kashindwa kumvumilia, tena kamkuta harmonize na stress za kawimbo kake kubuma acha tu amchane
Comedian..!?
So hicho alichokiandika huyo Idris hapo ni sehemu ya comedy..!?
Ajabu..!
Kwani marinda Ndiyo nini?Lakini sio kila MTU anapenda utani
Sepetu alikua anashinda pale, kala hadi buku ya mwishoEvelyn Salt huyu idris hela alipotezea wapi ?
Atakuwa mwanaume wa DarUnaweza kuta hii habari imeletwa na mwanaume kabisa.
Kama ulivyoandika "nchi ya vi-wonder", hao ni sehemu ya vi-wonder, kwa mfano bora hata yule aliyepita alikuwa na utaratibu wa kuwaita watoto waliomaliza shule na kufanya vizuri kitaifa, pale magogoni, sasa huyu mpaka anampromote huyo dimon hewani hivyo, kesho watoto wanaona kumbe hiyo ndio life, sio mchango mkubwa wa vi-wonder huo kutoka kwa dimon,Tujuzane watanzania wenzangu, hao ni wakina nani hapa tz, au mnaongelea watu wa nje ya nchi hii..
Nn mchango wao kwenye hii nchi ya vi-wonder??
Yote haya kayaleta harmorapa hlf sasa hivi katulia anaangalia wapi kuna kik kesho anaweza kwenda na waandish kwa idris kumpa Pole kwa maneno makali ya harmonize
Hivi kwa akili yako nyepesi niambie imebuma unatamia vigezo vipi...?Idris na comedy zake za kuungaunga sometimes huwa anaboa alianza na Mond kuhusu wimbo wake wa merry u Mond akamnyamazia.
Sasa leo kahamia kwa harmonize, kashindwa kumvumilia, tena kamkuta harmonize na stress za kawimbo kake kubuma acha tu amchane
Vipi harmonize kataja mtu kwny povu lakeTena wala hajatajwa kwenye tweet ya sultan,
mbona kamjibu kwa hasira sana na kwa matusi wakati naona kama jamaa hakuongea kitu kikuuubwa, kama alikuwa anamtania kawaida tu au alikuwa anampa ushauri, lakini yeye alivyoumia moyo na kutoa majibu ameenda mbali sana. hata hivyo, watajuana wenyewe, kwanza hayo manyimbo yao mimi huwa sisikilizi na yapo kwenye kundi la manyimbo ya mashetani hivyo watajuana hukohuko.
Elimu kitu gani mkuu ......Mbna huo ni utan tu
Huyo dogo wa wcb kaishia la ngap