Idriss sultan vs Harmonize clapback

Idriss sultan vs Harmonize clapback

Siku hizi Jamaa wa Madale wakizidiwa hoja wanakimbilia kusema unapumuliwa ili wajitetee na kuamisha upepo.

Ila wote tunajua Harmorapa amefunika majamaa wote wa Madale.
Kwa kibakuli kazimika sasa harmo ndo kafunika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vibakuli vinajulikana.
 
"Wananiita Harmorapa ror modo wa Hamonize, Wolper nlipiga ikapita wao ndio demu wao wa skendo...Demu wao skendddddoooo!!!"

"Yani kusema kweli yani wema amejazia yani si unajua mzigo ule,af mi napendaga vitu kama vile yani so mi huwa napenda yani"

Hizo si kauli za mwengine ni yule mzee wa kiki za mwendokasi bw. Harmorapa!!! Dropping to you live from Bongo.
 
Sema idrisa anapenda kufatilia sana wenzake Sijui halionagi aibu.....lenyewe lilishinda 500M lakini hatujui hata zilienda wp mbona wt wametulia tu linauzi sana
wewe unafikiri unapewa kama zilivyo hapo kuna kodi kuna mawakala kuna vitu kibao so usizitaje kizembe
 
Sasa we ndo unaonekana umevaa jiji..wakuja utamjua tu.
Eti katoto jitu zima lile eti comediam.
Marindaless utawajua tu

Sidhani kama hata hao wamarekani hukurupuka tu. Nahisi kuna utaratibu hasa wote mkiwa ni watu wenye influence kubwa kwenye jamii. Kibongobongo hatujafikia uhuru wa namna hio. Angemconsult kuwa anataka kufanya stunt ili harmonize aaprove. We mtu hamjuani,hamna urafiki, maybe hamna mazoea yeyote halafu siku moja uletee upuuzi wa kiki namna hio. I'll chop ypur head man!
 
Sidhani kama hata hao wamarekani hukurupuka tu. Nahisi kuna utaratibu hasa wote mkiwa ni watu wenye influence kubwa kwenye jamii. Kibongobongo hatujafikia uhuru wa namna hio. Angemconsult kuwa anataka kufanya stunt ili harmonize aaprove. We mtu hamjuani,hamna urafiki, maybe hamna mazoea yeyote halafu siku moja uletee upuuzi wa kiki namna hio. I'll chop ypur head man!
Kweli Mkuu. Sifa za kijinga hazifai
 
Ofcoz anatamani awe comedian nguli but kwa wabongo kukuelewa ni ngumu coz kama ukiwa on the stand comedian hana mipaka ya nani amuongelee sema sisi kwetu ni kitu kipya sana ndio maana tunahemukwa kihisia na kujibu kwa matusi kama alivyofanya hamonise. Juzi hapa stan bakora kwenye parody ya video ya baraka da price alijaribu kujipaka mkaa usoni ili kufanania na baraka coz ni.mweusi. but baraka povu lilimtoka sana alikujua kadhihakiwa but No! We jaribu kumfanyia mpoki hvy uone kama atatoa povu wala coz yeye anaelewa comedy ilivyo. Harmonize alitakiwa tu afurahi na yeye sio kujibu. Inshort wasanii wa bongo hawawezi kuishi USA maana comedians wa kule wanafunguka kweli. Watapigana kila siku.
Eti awe nguli. Utasubiri sana. Huyo kuongea kawaida tu anaboa..na accent ya kijijini kwao uko.
Mbona Mpoki anachekesha na kuudhi lakini watu wanamkubali? Cuz hajavamia fani kama uyo choko anayelazimisha kubaki relevant kwenye mainstream audience.
 
Back
Top Bottom