Kwa kibakuli kazimika sasa harmo ndo kafunika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vibakuli vinajulikana.Siku hizi Jamaa wa Madale wakizidiwa hoja wanakimbilia kusema unapumuliwa ili wajitetee na kuamisha upepo.
Ila wote tunajua Harmorapa amefunika majamaa wote wa Madale.