Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Jamaa anakera sana....alafu anavyoongea iyo sauti sijui ya wapi!Sema idrisa anapenda kufatilia sana wenzake Sijui halionagi aibu.....lenyewe lilishinda 500M lakini hatujui hata zilienda wp mbona wt wametulia tu linauzi sana
Elimu kitu gani mkuu ......
Ofcoz anatamani awe comedian nguli but kwa wabongo kukuelewa ni ngumu coz kama ukiwa on the stand comedian hana mipaka ya nani amuongelee sema sisi kwetu ni kitu kipya sana ndio maana tunahemukwa kihisia na kujibu kwa matusi kama alivyofanya hamonise. Juzi hapa stan bakora kwenye parody ya video ya baraka da price alijaribu kujipaka mkaa usoni ili kufanania na baraka coz ni.mweusi. but baraka povu lilimtoka sana alikujua kadhihakiwa but No! We jaribu kumfanyia mpoki hvy uone kama atatoa povu wala coz yeye anaelewa comedy ilivyo. Harmonize alitakiwa tu afurahi na yeye sio kujibu. Inshort wasanii wa bongo hawawezi kuishi USA maana comedians wa kule wanafunguka kweli. Watapigana kila siku.Basi tuseme wabongo ni wagumu kukomedika...
Coz me sioni comedy anayoifanya Idris zaidi ya utoto tu..!
Sasa we ndo unaonekana umevaa jiji..wakuja utamjua tu.Wanasahau idrisa n katoto kadogo sana..uref wake wanadhan n mkuubwa..jamaa n comedian anafanya for fun..hamo nan cjui akaushe 2 as long kavamia jiji la dar aendana na mautan ya dar
Umejuaje idris mmakondeWamakonde bwana this time zamu yenu maana hata idris mmakonde
Hatatoka kwa vigezo kwamba hakuchekeshi au???We kweli taaira...wakiitwa comedians na yeye atatoka?
Anaonekana anachekeshaga wasio na marinda
Anaanzaje kumchekesha mtu mwenye marindaHatatoka kwa vigezo kwamba hakuchekeshi au???
Asante mkuu yeye anajiona kakamilika halafu halichekeshi yaanSema idrisa anapenda kufatilia sana wenzake Sijui halionagi aibu.....lenyewe lilishinda 500M lakini hatujui hata zilienda wp mbona wt wametulia tu linauzi sana
Sijaona huo ucomedy wake kwanza sometime anakera unaweza kudhani ni mwehu comedy joti bwana na hamuabuse MTU kama hili limategee..zenyewe lilipata pesa ndeefu Hanna LA maana zaidi ya kuvaa visutiIdris ukimchukulia serious lazima udate by the way yule ni comedian
UsUshauri mavi watu wengine uchokozi tu acha apakwe kaz kujipendekeza safi sana yeye nan alimuuliza pesa.zake.alipeleka.wapmbona kamjibu kwa hasira sana na kwa matusi wakati naona kama jamaa hakuongea kitu kikuuubwa, kama alikuwa anamtania kawaida tu au alikuwa anampa ushauri, lakini yeye alivyoumia moyo na kutoa majibu ameenda mbali sana. hata hivyo, watajuana wenyewe, kwanza hayo manyimbo yao mimi huwa sisikilizi na yapo kwenye kundi la manyimbo ya mashetani hivyo watajuana hukohuko.
Wanasema ni Comedian.Idriss ni nani?
Nini kinakufanya uone harmonize yupo serious.Sidhani km idris alikuwa siriaz km jamaa alivyochukulia. Yule ni mtu wa matani
Harmonize ametokwa povuKama Idris amefanya utani naamini hata harmonize amefanya utani pia, teh teh!
Alihojiwa kwenye interview. Akasema yy hajapenda utani wa udris. Furthermore hana utani na idrisNini kinakufanya uone harmonize yupo serious.
Kwani ukiwa unapenda utani ndio utanie au ruhusa kutania kila mtu, basis na yy kajibiwa no utani tuWcb kwa kupanic ndiyo wenyewe.
Sasa huoni huo ni utani tu?
Mbona hata Harmonize hajataja mtu yoyote?Bahat mbaya Hajamtaja Hamonaizi mbona amepaniki ghafla