Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kwani ukiwa unapenda utani ndio utanie au ruhusa kutania kila mtu, basis na yy kajibiwa no utani tu
nawe unataka kujua,inakuhusu???ile gorofa ilikuwa sio yake? wanaume wa dar nijibuni maana nyie mnajuagi maisha ya watu wakat yenu yanawashinda.
Alianzisha kampuni akaajiri wafanyakazi zaidi ya 10Sema idrisa anapenda kufatilia sana wenzake Sijui halionagi aibu.....lenyewe lilishinda 500M lakini hatujui hata zilienda wp mbona wt wametulia tu linauzi sana
nawe unataka kujua,inakuhusu???
Comedy kwa mtu sio kwa brandy yake fatilia hata komed za mbele.. ni utani kwa mtu muonekano wa mavazi na sio brandy mzee..Wabongo hatujui comedy....embu fatilieni comedians wa kwa wenxetu wanavyofanya hata obama wanamsema in a comedy way but coz obama anajua huyu jamaa ni comedian then wala hatoki povu
Neno viwanda ni neno mtambuka sana.
[emoji15]Kama idris sultan in comedian basis anna kansiime , jotti na Eric omondi ni wacheza football
hahahaaa stress kweli kweliIdris na comedy zake za kuungaunga sometimes huwa anaboa alianza na Mond kuhusu wimbo wake wa merry u Mond akamnyamazia.
Sasa leo kahamia kwa harmonize, kashindwa kumvumilia, tena kamkuta harmonize na stress za kawimbo kake kubuma acha tu amchane
Evelyn Salt huyu idris hela alipotezea wapi ?
Alisema kaagiza private jet mpaka leo hatuioniSema idrisa anapenda kufatilia sana wenzake Sijui halionagi aibu.....lenyewe lilishinda 500M lakini hatujui hata zilienda wp mbona wt wametulia tu linauzi sana
Idriss sio comedian wala sion hicho kipaji kama kinamfaa kwanza hajui hata kuchekesha sasa hivi anatafuta kick tu kaona tangu apigwe chini na wema sasa hasikiki watu wapo bize kumjua hamorapa anaona bila ajipendekeze kwa hamorapa kumdis harmonize. But amefeli kwanza hana faida yoyote kwa jamii zaidi ya kuuza sura tu na sura yenyewe haiuziki sasa hivi sura inayouzika town ni harmorapa ndio kiboko ya mabishooIdris na comedy zake za kuungaunga sometimes huwa anaboa alianza na Mond kuhusu wimbo wake wa merry u Mond akamnyamazia.
Sasa leo kahamia kwa harmonize, kashindwa kumvumilia, tena kamkuta harmonize na stress za kawimbo kake kubuma acha tu amchane