Abarikiwage tu baba wa watu. Maana ametuweza.
HahahaUnakunywa pombe leo au?
Hahahaaaa. Sawa mdogo wangu.Toka najiunga Jf mm ni team wahenga no stress
alicheza kama pele asee
Ndioo. Tena akazipamba mpaka tukaona hao wazee tupa kule. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona Mtani uzi unakugusa ndio sababu hutii neno mwenyewe zaidi ya dole gumba tuππHahaha
Nakusubiri kwa pm hapa mkuuNaja fastaa mbona
[emoji849] Huyu si mume wa chamdeko sasa
Nakusubiri...ngoja niandae na makarabrasha yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja nije
alafu sasa raha ya jf uendelee kubaki kwenye kivuli cha fake ID ππ...ndio maana humu watu huwa wakigundulika real id zao huwa wanatelekeza ID wanafungua mpya ππHahahhaha mzee mwenye maakili makubwa
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Nakusubiri kwa pm hapa mkuu
MimiSifahamu!WeSiUmesemaUnatakaMkongwe!HuyoNaeMkongwe![emoji849] Huyu si mume wa chamdeko sasa
Hawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.
Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew
Naona kuna wakaka wanahangaika kujipendekeza kwa threads kibao za kujibebisha kwa mabebezi [emoji57][emoji57][emoji57] ili mpendwe na mjibiwe PM zenuu mxeeew mnajidanganya.
Habari ya mujini ni I'd kongwee tena wala hazipo chitchat wala MMU wapo majukwaa ya biashara huko mtu anaulizia jinsi ya kuanzisha kampuni au mradi wa kufuga kuku eeeh utaachaje kujibu PM yakee [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh
Ukija kwangu unalike na kujipendekeza usizan nitakufeeel walaa unajidanganya mabebez wanaopenda hivyooo nawaambia hivi mnaingizwaa chakaaaaaa.
Kwanza mkae mkijua mchawi pesaaaaaaaaaaaaa.
Acheni kupoteza muda kwa kujibebisha kwa wabebez I'd kongwe zinawacheka kihutuuuu maana wanafauduuu kimyakimyaaaa.
Mke wa kalumanzila hapaaaa Demiss.
ππππππππππFree p[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Bas sawa asanteeMimiSifahamu!WeSiUmesemaUnatakaMkongwe!HuyoNaeMkongwe!