ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

We unawazaga upumbavu tu..sidhaji hata kama unaingiza elf 10 kwa siku!
 
Hahaah wewe hata ujibebishe vipi, kwa chamdeko utapigwa za uso...

Bora mi nijaribu bahati yangu... si unajua ule mradi wangu wa ufugaji wa konokono umefikia hatua kubwa? Muda si mrefu naanza tripu za Shanghai...
Nimechekaaa hatar
 
Hawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.

Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew

Naona kuna wakaka wanahangaika kujipendekeza kwa threads kibao za kujibebisha kwa mabebezi [emoji57][emoji57][emoji57] ili mpendwe na mjibiwe PM zenuu mxeeew mnajidanganya.

Habari ya mujini ni I'd kongwee tena wala hazipo chitchat wala MMU wapo majukwaa ya biashara huko mtu anaulizia jinsi ya kuanzisha kampuni au mradi wa kufuga kuku eeeh utaachaje kujibu PM yakee [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]

Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh


Ukija kwangu unalike na kujipendekeza usizan nitakufeeel walaa unajidanganya mabebez wanaopenda hivyooo nawaambia hivi mnaingizwaa chakaaaaaa.
Kwanza mkae mkijua mchawi pesaaaaaaaaaaaaa.


Acheni kupoteza muda kwa kujibebisha kwa wabebez I'd kongwe zinawacheka kihutuuuu maana wanafauduuu kimyakimyaaaa.

Mke wa kalumanzila hapaaaa Demiss.
Siku moja tuanze kujadili kile kilimo cha nyoka
 
Back
Top Bottom