Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mambo vipi mtani ,uko poa ?nafurahi sana mtani mambo ya humu
Mambo ni poa Mtani na uzima nnao. Hahahaaaaa. Kwa nini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo vipi mtani ,uko poa ?nafurahi sana mtani mambo ya humu
Maoni ya wadau yanafurahishaMambo ni poa Mtani na uzima nnao. Hahahaaaaa. Kwa nini sasa?
Hahahaaaa, tayari nshakazia😂😂😂😂
Wapendaaaa. Haya kazia.
Kocha msaidizi? Akiondoka yule tutakua tumebugi sana kwakweli, mzungu sio kabisa yuleUmejua ni nini lakini Sesten?
Tulikuwa tunasemea habari za Simba bana Sesten kwamba kuna mtu anataka afungashe virago. 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jf nipo tangu 1998 nilijunga week moja kabla baba wa taifa hajaondoka
Siku moja tuanze kujadili kile kilimo cha nyokaHawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.
Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew
Naona kuna wakaka wanahangaika kujipendekeza kwa threads kibao za kujibebisha kwa mabebezi [emoji57][emoji57][emoji57] ili mpendwe na mjibiwe PM zenuu mxeeew mnajidanganya.
Habari ya mujini ni I'd kongwee tena wala hazipo chitchat wala MMU wapo majukwaa ya biashara huko mtu anaulizia jinsi ya kuanzisha kampuni au mradi wa kufuga kuku eeeh utaachaje kujibu PM yakee [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh
Ukija kwangu unalike na kujipendekeza usizan nitakufeeel walaa unajidanganya mabebez wanaopenda hivyooo nawaambia hivi mnaingizwaa chakaaaaaa.
Kwanza mkae mkijua mchawi pesaaaaaaaaaaaaa.
Acheni kupoteza muda kwa kujibebisha kwa wabebez I'd kongwe zinawacheka kihutuuuu maana wanafauduuu kimyakimyaaaa.
Mke wa kalumanzila hapaaaa Demiss.