ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Huyo mwenze ID ya 2000 ni nani ? Mtu wa kwanza kujiunga humu ni mmiliki na ilikua nia baada ya 2005 sasa ww ID ya 2000 umeitoa wapi
Dda kila siku nakwambia toka kwa mshana ameshakuaribu akili
 
Bamdogo ndio mana nimekwambia siweki tena avatar fake una nini lakini bamdogo
Unajua nilikuwa najiuliza sana aisee,hivi huyu ni wewe kweli kwenye hiyo avatar ama ? Kama ni wewe daaaah !

Ila nashukuru kwa kunipa taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…