ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Ngoja niangalie yakwangu ni ya mwaka gani
 
Hapana mkuu wangu hata kwenye uzuri wa kati sipo kabisa nahisi mm ni toleo la mwisho
Kwa sisi tuliopewa elimu za utambuzi wa sura za watu kupitia migongo yao. Kama wewe ulivyonipa mgongo katika avatar.

Wewe ni mzuri wa kati na kati.
 
kumbe nimekidhi vigezo ngoja nianze kujibebisha.....
 
Watu kwa kutafuta kick balaa wanawake wanaotongozwa pm hawaongei wanaobwabwaja ukute hata ajawai hata kuulizwa swali , watu ambao wanashinda kwenye majukwaa ya biashara hawako jf kwa ajiri ya mademu , na hata akitaka demu , wapo wenye qualifications zao utawajua kwa post zao na comments unaona huyu ni wife material , waliobakia ni piga nikojoe maisha yaendelee , men also have preferences , labda wale wenzangu na mimi wanaogonga anything that moves , lakini pia wanajua kutofautisha kati ya debe tupu aliachi kutika na kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza , kama umeshawai ku post unatafuta bwana you have to know you are somehow inferior , watoto wazuri hata insta hawaingii , muda huu kuna njemba zinazunguka nyumba wakimsubiri atoke , wanawake wana nyodo sana ........
 
Chamdekooooo nakogoaaaaa kisnupi dogidogiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…